Harakati za Mwigulu zinavyozidi kumharibia

Ingekua nchi zenye utawala wa sheria huyu mtu ilibidi ameshaozea jela

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Mwigulu, katika kuchangia hoja kwenye thread hii, naona umemtetea sana diwani wako ambaye inasemekana ndiye alikuwa anakupeleka kwa wazee (sijui waganga wa kienyeji?) wakati unaanza harakati za kugombea ubunge. Huyu ambaye umetetea majina yake, nimejulishwa pia na ndugu yenu wa karibu kuwa huyu diwani naye aliwahi kujipachika majina ya Kisukuma kama wewe ili arudie shule. Inasemekana alipewa jina la Masaganya Zengo ambalo ndilo alisomea sekondari. Hii inaonesha ni jinsi gani wewe na huyo diwani wako mlivyo waongo waongo tu na mnadanganya danganya ili kuweza kufikia malengo yenu ya kutawala mkidhani hamjashtukiwa.
 
kababu kama huna la kuandika ni bora utulie,kwani hapo umetueleza nini kuhusu mwigulu?
 

Nyoa hayo madevu yaliyo kama nyenyere wanakula sukari. Yanakufanya uwe kama savimbi wa porini. Yanakuzidishia nuksi na chuki kwa watu kwa sababu yanashabihiana na hila na ukatili wako. Acha uzushi wa ki pagani unakushushia hadhi na chama chetu.

Upo hapo mtani? Ila nimesema kweli, nyoa madevu bwana, na ujifunze kuwa mkweli na uwe na hekima. Ubabe kwa sababu unatumia polisi na serikali inakulinda, haukupeleki popote zaidi ya kukuchelewesha na kukupa majuto ya maisha!.

Naenda msibani.
 

Mkuu Mwigulu sio saizi yako utaishia kutoka povu tu mfupa uliomshinda Babu utauweza wewe?
 
Ajikwezaye atashushwa - maandiko ya dini.

Mwigulu yuko juu kisiasa, kiakili na kimkakati. Kumlinganisha na kichuguu kitila ni kama kulinganisha kichuguu na mlima kilimanjaro. Mwigulu ni mlima chadema wote wanajua
 
Mwigulu yuko juu kisiasa, kiakili na kimkakati. Kumlinganisha na kichuguu kitila ni kama kulinganisha kichuguu na mlima kilimanjaro. Mwigulu ni mlima chadema wote wanajua

Mi mwenyewe nipo nusu nusu CCM & CDM ila kwa CCM Mwigulua anatuharibia sana, nina imani kwa Iramba hatashinda kabisaaaaaaaaaaa!
 

Mwigulu akili unaweza kuwa nazo, lakini upeo huna kabisa. Najuwa hutaamini siku utakayomwagwa ubunge.
Najiuliza sana hauna wa kukushauri? Nyinyiemu siku zenu zinahesabika! Mikutano ya kikabila ya nini Tanzania ya leo? (Karne ya 21 mnatupandisha basi la makabila?) Mwalimu Nyerere:1995.Dodoma.
 

Na niaapa mbele ya JF kwamba, CDM wafanye wafanyavyo waning'olee Mwigulu tu 2015.
"Kura yangu si badili na Rehani"
 
Mtu unauliza serikali kwa nini haijawafunga watu? Mimi siamini na wala sitaki kuamini kwamba nimesikia hayo yakisemwa na mtu mwenye dhamana kubwa katika Chama. Natamani Mwenyekiti wa Chama anipe nafasi niombe niombe nafasi ya huyo jamaa kwanza.

Hiyo ndo akili ya mtumwa!
Hana muda wa kutafakari kwa sababu akili yake iko utumwani....
Hajui kinachomfunga mwenye hatia ni mahakama!
 
Mwigulu yuko juu kisiasa, kiakili na kimkakati. Kumlinganisha na kichuguu kitila ni kama kulinganisha kichuguu na mlima kilimanjaro. Mwigulu ni mlima chadema wote wanajua

Utashindwaje kumsifia anayekulisha?!
 

Mimi naomba kujua hiyo nyota kwenye kofia inamanisha nini!?
BASI.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…