CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.
HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?
Naona leo ndugu umeamka na mawazo kuhusu CHADEMA!CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.
HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?
CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.
HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?
CHADEMA na harakati hizi tangu uchaguzi uishe wanadai nini? CUF walitaka tume huru ya uchaguzi, je CHADEMA mnatataka nini? Hebu jamani tujuzeni maana harakati za kila siku ambazo hazina kichwa wala miguu si nzuri. Niambieni nami nipate kujua.
HIZI HARAKATI ZA CHADEMA NI ZA KUDAI NINI?
What u mean by Lumumba??
Boflo,
Umeuliza swali la msingi sana lakini Pro-CHADEMA wote badala ya kukujibu wanaleta porojo.
we umejibu nini?
uliingiaje kitivo cha sheria UDSM na division two yako ya mkwawa, wakati kipindi hicho lazima uwe na division one ya point 6 as a cut point of qualification?
Ndo maana hakri zako nazihesabu.
Bomu limeundwa China, mlipuaji ni polisi wa Morogoro, waliomlinda kwa SMG, na bastola nia askari wenzie toka Kibaha na Morogoro. Walilindwa na kusindikizwa na gari PT 1179 ya polisi hadi kituoni wakapotelea huko. Serikali kwa kujua yote hayo haithubutu kuwakamat au kujikamata.STIDE
Mnadai kwa kuripua mabomu
STIDE
Mnadai kwa kuripua mabomu
STIDE
Mnadai kwa kuripua mabomu