mkuu hapa kama sikusei ni njia ya himo marangu mbele kidogo ya mieresini ni sehemu ambayoa haina makazi ya watu wengi sana maana ni sehemu za mashambani ambako watu wanakuja kulima then wanarusi kule milimani kupumzika.Wako chimbo au mkutanoni? Mbona hali ni ya kusikitisha kwani walioko hapo idadi yao hawazid hata watu wa nyumba 4 zinazo mzunguka mh. Mrema nyumbani kwake pale. Ina maana hata familia yake nayo ime mtupa mkono namna hiyo?
babu akalale sasa aache kuhangaika hatumpi tena ubunge
Huyu mzee king'ang'anizi...hasomi alama za nyakati kwamba his time is up!