Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Huyu bwana haitaji sana kura za watu kuendelea kushikilia nafasi hiyo aliyo nayo na hii ni kutokana na sheria zetu pamoja na nature ya taasisi ya kusimamia mchakato wenyewe wakati ukifika.
Katika mazingira haya ni lazima mtu uanze kujiuliza ni kwanini anaonekane kutumia nguvu kubwa sana kutaka aonekane kuwa yeye ni the best tangu tupate uhuru hata kwa kuandaa matukio yanayoishia kuzua maswali kwa watu wenye uelewa wa mambo.
Binafsi naanza kupata wasiwasi kuwa huenda harakati hizi zisizoisha na ambazo hazitaisha leo wala kesho, lengo kubwa hapa ni kumnadi yeye kama yeye ili aonekane ni mchapakazi na msimamizi mzuri anaesstahili kuongezewa muda tofauti na wengine wote waliopita.
Ni matarajia yangu kuwa harakazi hizi zitaendelea kabla ya watu wachache kuja kujitokeza huko mbeleni na kudai kuwa kwa juhudi hizi na mafanikio haya, tunapendekeza aongezewe muda na kwa kufanya hivyo lengo litakuwa limetimia huku kule "Mjengoni" nako kukiwa kumesafishwa kwa kuwaondoa wale wote ambao watakuwa kikwazo (juhudi zinaendelea).
Huu ni mtazamo wangu ila muda ndio itathibitisha pale watakapoanza kutumia matukio haya kumpigia debe.