Happybirthday @Excel

Hahahahaaa! itakuwa ni ajabu sana ujue!.. nakungoja na tabasamu lako ujue!

Itakua ajabu tena?Haya subiria utaniona siku hiyo na huo urefu wako ufanye uupunguze.....lol
 
Happy birthday Excel, better late than never
 
Last edited by a moderator:
asante sana kokubyutiful..! (kidding.. lol.. eli79 asije akaniwashia gun bure!)

Nimefarijika sana kukuona hapa..

Mimi pia jamani, long time eeeh....yaani utafikiri siyo marafiki? Eli79 anajua sisi ni marafiki tuu. Haya keki umenibakizia?
 
Last edited by a moderator:
Ziletwe lini miss?.. hope ni hizo tu! lol
Andaaa milion kumi kwa ajili ya posa[/QUOTE]
 
Mimi pia jamani, long time eeeh....yaani utafikiri siyo marafiki? Eli79 anajua sisi ni marafiki tuu. Haya keki umenibakizia?

Keki ipo kabisa koku-B!

Tena na siku yenyewe tulivu hivi, ntakulisha vyema kabisa na huo mwanya! lol..
 
Keki ipo kabisa koku-B!

Tena na siku yenyewe tulivu hivi, ntakulisha vyema kabisa na huo mwanya! lol..

Hahahahaa haaaa umeanza fujo we kijana, wazee hatulishwagi twala wenyewe bhana.
 

Ameni..baraka za Bwana ziambatane nawe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…