Happybirthday @Excel

huu ni uzi mwingine tena?
haya happy birthday bro.

Asante sana kaka mkubwa.

Hizi birthday za mtu nne, yani mwekundu, Bulldog, Chujio na Kim nana zilitakiwa ziwe katika thread moja!

Basi tu imetokea misunderstanding katika crew nzima ya technicians..

By the way, we are all happy with the increase of ages!

Natumai pia na shughuli zetu za kiuchumi hazitokuwa nyuma.

Speed.
 
Last edited by a moderator:
My regards to all people who took their precious time to wish me blessings in my birthday remembrance.

I would like to sincerely thank you all my friends, kiwatengu, mwekundu, Malaika mimi, Kim nana, Matola, miss neddy, Munkari, ladyTalha (hope you could be here today dear friend.), 'Valentina', tumboo, angelita, Nokia83, Honey Faith, Khantwe, farkhina, Malaika mimi. mshana jr,. and all I didnt mention.

My friends, ni jambo jema sana pale muungwana anapoungwa mkono na waungwana, fursa kama hizi hutokea kwa watu wachache sana, tena wale walio muhimu tu kwa maisha. Natambua ni namna gani mlivyotumia muda wenu mwingi sana kunipa ushirikiano katika tukio hili la muhimu sana ambalo hutokea mara moja tu kwa mwaka.

Ningependa kuwafahamisha kuwa, Mwenyezi Mungu kaniongezea umri leo, nimefarijika sana, nimetimiza umri wa miaka 23, jambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Binafsi ningependa kuliongelea jambo hili kama hatua muhimu sana ambayo kila mwanadamu, mbali ya anaipitia, lakini inampa fursa ya kuendela kukua na kuyaona (kama wahenga walivyosema hapo zamani za kale.)

Naomba nisiwachoshe sana, mwisho ningependa kuwaambia tu kuwa, Mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi, bado yuko nami bega kwa bega katika harakati zangu za kuyakabili maisha na kuibadili dunia kuwa sehemu bora ya wanadamu na viumbe wengine kuishi. Mwenyezi Mungu kanitendea mengi, nakumbuka maneno yake matamu katika zaburi ya 23, sitaogopa kitu nijapopita katika bonde la umauti...

Nawashukuruni sana kwa muitikio wenu chanya katika siku hii tulivu.

Asanteni.

Excel at 23.
 
Last edited by a moderator:
Kwema kabisa kuna keki yako hapa si unajua jana mtoto mkubwa na yeye alikuwa amezaliwa
oh! Rogie huyo eenh? huu mwezi una bahati sana! Nashukuru sana kwa keki shem! ila mi mrefu sana ujue, utaweza kweli kunilisha? lol.

Happy birthday brother rogie..

Nimekuwa katika kuumwa toka niingie Mwanza! kuna baridi kali sana!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Excel! Una oa lini?
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Excel! Una oa lini?

Hahahaaa! kaka suala la kuoa liko kwenye mpango wangu wa muda mrefu. Nadhani baada ya miaka mitatu (at 26th birthday remembrance) kuanzia sasanadhani ndio nitavuta jiko!

Nashukuru sana brother kwa wish nzuri.
 
oh! Rogie huyo eenh? huu mwezi una bahati sana! Nashukuru sana kwa keki shem! ila mi mrefu sana ujue, utaweza kweli kunilisha? lol.

Happy birthday brother rogie..

Nimekuwa katika kuumwa toka niingie Mwanza! kuna baridi kali sana!

Pole sana shem wangu usijali nitapanda mgongoni kwa rogie then nikulishe.....lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…