mmeku
Member
- Aug 7, 2011
- 43
- 11
Hii sio siku ya wanawake wanaojua model za kila. aina ya simu. Mwanamke kila cku anauliza leo 2nakula bata wap. Mwanamke kla pcha kwenye ig yake anaonekana kwenye nyumba za watu au hotelini kama hana kwao.mwanamke anaekesha coco beach utadhan anataka kuwa baharia. Wanawake wanaoshnda wamelala usiku wanawaza kununuliwa michemsho na bia za bure. leo sio siku ya wanawake wa aina hii. Ts a special day 2 woman who are integrated and determine..