Happy Wife, Happy Life.

Happy Wife, Happy Life.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,564
Reaction score
21,069
The phrase, "Happy wife, happy life," is scientifically proven; husbands who have happy wives are more satisfied with their lives.

Kimbembe kinakuja kwenye kumfanya mkeo awe HAPPY, hapo wanaume wengi ndio tunapofeli.
 
Mwanamke wa hivyo huwa anapata tabu sana...mara nyingi watu humkimbia...
Mie naamini kuwa happy inaanza na mtu mwenyewe...usitarajie hata siku moja kuoa mwanamke mwenye gubu mixer kisirani ukitarajia utakuja kumfanya awe happy
 
Back
Top Bottom