hiyo pia haizuii mimi kumpenda badoNa mtaachana tu.
Ndo mie mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya.
Hahaaaaaa hommie unazingua as if ulimwenguni umeingia juzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...[emoji23][emoji23][emoji23] fumbavu kabisa ww kumbe ndio michezo unayoifanyaga ww unamposti Hamida alafu unatuficha kuhu ss tusione au leo ndio kilamtu umempost ajione peke yake [emoji23][emoji23][emoji23] najua haushindwi ww.
😂😂 acha nikae kimya maana najua huu ugomvi hautaisha tutajaza uzi wa watu tu dude.Hahaaaaaa hommie unazingua as if ulimwenguni umeingia juzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Bora umejua mapema maana hii league haina muamuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nikae kimya maana najua huu ugomvi hautaisha tutajaza uzi wa watu tu dude.