Happy Valentines R. Wami🥰

Happy Valentines R. Wami🥰

Ni bongo tu watu huwa wanawaficha wapenzi wao kwenye mastatus huko leo watu wamefichwa na makopa alafu ndio unapendwa hivyo 😂😂 huku ukiwa umefichwa ni bora usipostiwe tu kama siku yaleo utaficha sura nk..
 
Ni bongo tu watu huwa wanawaficha wapenzi wao kwenye mastatus huko leo watu wamefichwa na makopa alafu ndio unapendwa hivyo [emoji23][emoji23] huku ukiwa umefichwa ni bora usipostiwe tu kama siku yaleo utaficha sura nk..
Sasa upostiwe ili iweje mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwanza ukipostiwa kiwiliwili shukuru Mungu kuliko ukute maua na gift af zimeandikwa FROM BAE na wewe hukumpa
 
Sasa upostiwe ili iweje mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwanza ukipostiwa kiwiliwili shukuru Mungu kuliko ukute maua na gift af zimeandikwa FROM BAE na wewe hukumpa
Dah 😥 sasa unanipostije nikiwa kilema mzee wangu 😂 wakati na nipo full bora hata usalitiwe ujue ni mshenzi tu kuliko anipost kwa kunificha kama yupo proudly na mm kwann anifiche sasa?
 
Dah [emoji26] sasa unanipostije nikiwa kilema mzee wangu [emoji23] wakati na nipo full bora hata usalitiwe ujue ni mshenzi tu kuliko anipost kwa kunificha kama yupo proudly na mm kwann anifiche sasa?
Usipanic mzee [emoji16]
Unaweza kupostiwa full na bado akalimit views yaani ukajiona mwenyewe tu
 
Usipanic mzee [emoji16]
Unaweza kupostiwa full na bado akalimit views yaani ukajiona mwenyewe tu
😂😂😂 fumbavu kabisa ww kumbe ndio michezo unayoifanyaga ww unamposti Hamida alafu unatuficha kuhu ss tusione au leo ndio kilamtu umempost ajione peke yake 😂😂😂 najua haushindwi ww.
 
Back
Top Bottom