Desidii
JF-Expert Member
- Oct 2, 2007
- 1,201
- 86
Ahsate sana Desidii,
Mbona umepotea hivyo au ulikuwa unaandaa majeshi kwa ajili ya Valentine's day!
Nakututakia siku kuu njema.
Ukiwaona AD, DA, Maty, The Finest na wajukuu wengine wasalimie sana. Wambie babu ni mzima. Karibia anamalizana na mraba wa bwana mkubwa. He is really coming back soon!!
Sawa. Ila DA aliaga sijui alisafiri au alikwenda wapi! AD kala BAN, Finest sijui yuko wapi sijui ila salamu watazipata. Enjoy na Bibi usiende nje umesikia??