GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
Napenda kuwatakia siku njema, enjoy kwa kiwango....tusherekee vizuri tuwakumbuke na kuwasaidia yatima, walemavu, watu wasiojiweza na wengine wote wanaohitaji upendo wetu hasa siku ya leo.
Wana lumumba mfanye hayo yote toka moyoni.....msiende na media wakati wa kufanya hayo matukioKwa niaba ya wana LUMUMBA wote,
Ubarikiwe sana kwa mawazo mema kama haya ndugu yangu.
Wana lumumba mfanye hayo yote toka moyoni.....msiende na media wakati wa kufanya hayo matukio
Noted brooSikumaanisha Lumumba CCM, bali Lumumba familia yangu.
Sikumaanisha Lumumba CCM, bali Lumumba familia yangu.