Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Wana MMU na wanaJF wote nawatakia SIKU NJEMA katika maadhimisho ya SIKU YA WAPENDANAO..Binafsi naamini sana katika UPENDO na MAPENZI kwa ujumla wake. UPENDO uwe ni ule wa ASHIKI au UPENDO wa kutoka ndani kabisa ya MOYO au hata wa KUIGIZA bado ni UPENDO.
!!..LOVE is the MOST powerful DRIVING FORCE in the UNIVERSE...LOVE DEFINES WHAT IS FROM WHAT IS NOT..!! Palipo na upendo baina ya wawili hata madhaifu ya mtu huwa hayaonekani na ndio maana wenyewe wakasema "MAPENZI NI UPOFU".
Kwa wale wawili wawili THIS IS YOUR DAY..Ni siku nzuri sana kwa wapendanao kukumbushia angalau "THE FIRST DAY I SAW YOU" namna mlivyoonana so special. Namna mlivyoongea "LUGHA YA MOYO" with full FEELINGS and very few WORDS...
Kwetu sie SILENT KILLERS siku yetu inaanza saa 2 USIKU...Kwetu ACTIONS are MORE IMORTANT THAN FEELINGS, Siku hii ni MUHIMU sana kwetu kwani tunaitumia KUPATA KILE TUNACHOKITAKA na ku-DEFINE NEW RELATIONSHIPS.This is how LOVE is all about to us..
Kwa wale MAYATIMA, WALIOACHWA, WASIO NA WAPENZI wala MATUMAINI ya kupata MAPENZI wala UPENDO ni siku nzuri sana kujifunza kutoka kwa wengine namna walivyo manage kuyamudu mapenzi na MIKIKI MIKIKI yake..
ALL THE BEST...have a nice day...(HAPPY VALENTINE'S DAY)..!!