Happy Thanksgiving to all

E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,546
Points
1,225
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined Dec 7, 2007
4,546 1,225
Ndio nini? Sherehe ya kuku wa kubanika?
 
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
11,881
Points
1,250
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
11,881 1,250
Candid Scope what is all about thanks giving day? I understand yesterday and today were meant to be Thanks giving days
They deserve their traditional transition. Siku za nyuma kidogo niliona hii kitu inafanyika katika makabila mbalimbali nchini mwetu wakati wa kiangazi kabla ya kuanza msimu wa kilimo kulikuwa na ngoma za asili zilizokesha kucha huku wakila na kunywa, kila ukoo ulichinja ng'ombe kusherehekea. Cha kushangaza utamaduni huo unazidi kutoweka wakati wenzetu wakazidi kukaza kamba kurithisha kama tuonavyo.
 
MMAHE

MMAHE

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2012
Messages
832
Points
195
MMAHE

MMAHE

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2012
832 195
The deserve their traditional transition. Siku za nyuma kidogo niliona hii kitu inafanyika katika makabila mbalimbali nchini mwetu wakati wa kiangazi kabla ya kuanza msimu wa kilimo kulikuwa na ngoma za asili zilizokesha kucha huku wakila na kunywa, kila ukoo ulichinja ng'ombe kusherehekea. Cha kushangaza utamaduni huo unazidi kutoweka wakati wenzetu wakazidi kukaza kamba kurithisha kama tuonavyo.
Njaa zote hizi nan achinje nq'ombe kirahisi namna hiyo!
 
S

Savannah

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
239
Points
0
Age
67
S

Savannah

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
239 0
Thanksgiving Day in the United States is a holiday on the fourth Thursday of November i.e. Thursday, November 22, 2012.
What do people do?
Thanksgiving Day is traditionally a day for families and friends to get together for a special meal. The meal often includes a turkey, stuffing, potatoes, cranberry sauce, gravy, pumpkin pie, and vegetables. Thanksgiving Day is a time for many people to give thanks for what they have.
Thanksgiving Day parades are held in some cities and towns on or around Thanksgiving Day. Some parades or festivities also mark the opening of the Christmas shopping season. Some people have a four-day weekend so it is a popular time for trips and to visit family and friends.
 
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
11,434
Points
1,225
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined Nov 11, 2010
11,434 1,225

........ki msingi hiyo shukrani wanampa nani !?
 
Ukweli ni siku mbili, Alhamisi na Ijumaa leo, kwa makampuni uchwara ndiyo yanayolipa siku moja tu, lakini makampuni yaliyotukuka na secta zote muhimu za serujaku siku zote mbili ni paid holiday.
 
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
11,881
Points
1,250
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
11,881 1,250
........ki msingi hiyo shukrani wanampa nani !?
Mungu, ndio maana wanajumuika kifamilia kutoka sehemu mbalimbali walizotawanyika na kisha family reunion huku wakishukuru mafanikio yote katika mwaka ulioishia leo na kuelezana mambo mbalimbali ya kifamilia. Asili ya sikuu hii ni ya kidini ingawa leo inaonekana kama ni sikukuu ya kawaida ya kimapokeo.
 
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
11,434
Points
1,225
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined Nov 11, 2010
11,434 1,225
Mungu, ndio maana wanajumuika kifamilia kutoka sehemu mbalimbali walizotawanyika na kisha family reunion huku wakishukuru mafanikio yote katika mwaka ulioishia leo na kuelezana mambo mbalimbali ya kifamilia. Asili ya sikuu hii ni ya kidini ingawa leo inaonekana kama ni sikukuu ya kawaida ya kimapokeo.
.............Dini ipi ?..... Mungu yupi ?.......na kwa (mapokeo) andiko lipi !?
 
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
11,434
Points
1,225
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined Nov 11, 2010
11,434 1,225
Huna lolote zaidi ya udini! Gonjwa hilo litibu vinginevyo litakutesa sana. Pilipili usiyoila yakuwashia nini? Kama krismas ni uzushi waachie wanao amini.
............uzushi lazima usemwe uzushi ! hakuna jingine ! kufuata na kuamini ni hiari ya mtu.............wako walioamini watu wamenatiana ! (sijui ni kugandana !) ...na huwezi kuwabadilisha vinginevyo !
 
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
1,826
Points
1,250
Age
62
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2012
1,826 1,250
..........Aaaah ni uzushi mpya kama ule wa krismas !
aaaa ally, wakati siku hizi tunapigana vikumbo kutafuta x-mas tree! hujawaona wenzio wanavyojishughulisha na maandalizi ya sikukuu nini! mi najua huwa mnapendaga sanatu mambo yetu, ila mnaogopa jinsi mtakavyoraruliwa na wenzenu mkisema mnashift kuja huku, wee
 
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
11,434
Points
1,225
Ally Kombo

Ally Kombo

Verified Member
Joined Nov 11, 2010
11,434 1,225
aaaa ally, wakati siku hizi tunapigana vikumbo kutafuta x-mas tree! hujawaona wenzio wanavyojishughulisha na maandalizi ya sikukuu nini! mi najua huwa mnapendaga sanatu mambo yetu, ila mnaogopa jinsi mtakavyoraruliwa na wenzenu mkisema mnashift kuja huku, wee
..........kila nafsi itakuwa na la kujibu ! mti tu !......ndo umuingize mtu katika ibada za uzushi ?!
hakuna kulazimishana wala kuogopana......aidha ukufuru (kwa kuhangaika na miti !) au ushukuru kwa kuinamisha kichwa chini mpaka ardhini !
 
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
11,881
Points
1,250
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
11,881 1,250
.............Dini ipi ?..... Mungu yupi ?.......na kwa (mapokeo) andiko lipi !?
Binafsi nafikiri swali lako ni zuri ili kwa wasiofahamu waweze kujua ingawa nafahamu kuwa wewe binafsi unaufahamu wa kutosha.

Thanksgiving imekuwepo muda mrefu kutokana na kuhusishwa na sikukuu ya mazao kama tamaduni za kiafrika zilivyozoeleka. Ipo po pote duniani ila kila watu wana namna yao, lakini wenzetu wanzungu kwa sababu ya urefu wao imekuja kuonekana inakuja kupokeleka na kueleweka kwa mataifa mengi kama ilivyo sikukuu za X-mass, Mwaka Mpya, nk. kwa namna yao ingawa ni kitu kile kile kilichozoeleka babu na baba zetu walivyokesha na nguma kucha kucha kucheza huku wakila na kunywa kufurahia na kumshukuru Mungu kwa mavuno, hata walipotolea baadhi kwa mahoka maana yake imani yao kwamba kuna uhai zaidi ya maisha ya hapa duniani.

Hakuna dhana zaidi ya Kumshukuru Mungu kwa majaliwa kwa mwaka na kuomba Mungu azidi kutujalia kwa mwaka tunaouanza. Kumshukuru kupata mvua kwa kuinyeshea mimea na kupata mavuno yake na kuendelea Mungu aendelee kutupa mvua kwa wakati ili ukame usituingizie njaa.

Hashukuriwi aliyelima, kupanda na kuvuna ila aliyewezesha.
Mathehebu ya kikristo yana utaratibu huo ambapo hushauriwa 10@ ya pato au mazao yatolewe sadaka kwa Mungu, ndiyo shukrani kwa mazao na mengine mema ambayo Muumba ametujali.

Nadhani mdau utakuwa umenipatapata, au siyo?
 
Forum statistics

Threads 1,296,572
Members 498,672
Posts 31,252,612
Top