Happy sabbath wana jf wote

Sabath nso nini tuko london pub tunakata mayi...manba iko nguvu kumayi kumuchanga inakorokota
 
Muda mfupi ujao baada ya jua kuzama tunaingia ktk masaa matakatifu ya sabato,nawatakieni kila la heri ktk siku hii takatifu


HappySabbath.jpg

“Then I saw another angel flying in the midst of heaven, having the everlasting gospel to preach to those who dwell on the earth—to every nation, tribe, tongue, and people—say-ing with a loud voice, ‘Fear God and give glory to Him, for the hour of His judgment has come; and worship Him who made heaven and earth, the sea and springs of water’ ” (Revelation 14:6, 7, NKJV).
 
mimi toka nilipozaliwa kwa mara ya pili(kiroho), katika ufalme wa mungu muumba niliingia rasmi ndani ya sabato(pumziko) langu. Sikuwahi kurudi tena kazini ila nimedumu pumzikoni(sabato) yake yesu daima. Siku za wiki, mwezi au mwaka sii issue kwangu katika kumwabudu mungu, siiabudu siku wala kuutukuza mwezi. Kama vile mungu nae alivyo pumzika siku ya saba na hakuwahi kurudi tena kazini kwamba baada ya siku sita angepumzika tena siku ya saba nyingine; vivyo hivyo nami.
Ni siku kuu siku ile ya kumkiri mwokozi. Sii ijumaa, juma mosi wala j/pili, sii idd, pasaka wala chrismass iliyo kuu, bali siku ile nafsi inapogeuzwa kwa kuzaliwa ktk ufalme wa mungu ndio iliyo kuu.
.

i like this plain truth, you are blessed kiby!
 
Mimi toka nilipozaliwa kwa mara ya pili(kiroho), katika ufalme wa Mungu muumba niliingia rasmi ndani ya sabato(pumziko) langu. Sikuwahi kurudi tena kazini ila nimedumu pumzikoni(sabato) Yake Yesu daima. Siku za wiki, mwezi au mwaka sii issue kwangu katika kumwabudu Mungu, siiabudu siku wala kuutukuza mwezi. Kama vile Mungu nae alivyo pumzika siku ya saba na hakuwahi kurudi tena kazini kwamba baada ya siku sita angepumzika tena siku ya saba nyingine; vivyo hivyo nami.
NI SIKU KUU SIKU ILE YA KUMKIRI MWOKOZI. SII IJUMAA, JUMA MOSI WALA J/PILI, SII IDD, PASAKA WALA CHRISMASS ILIYO KUU, BALI SIKU ILE NAFSI INAPOGEUZWA KWA KUZALIWA KTK UFALME WA MUNGU NDIO ILIYO KUU.
.
Nilitaka nikujibu baada ya kumaliza post yako nimeona wewe si Sabato wala kitu gani bali wale waliochanganyikiwa. Ingia ndani ya roho yako jitafakari je, unaamini nini katika ulimwengu huu? Ukiniuliza mimi nimetendewa miujiza mara mbili na mama Maria mzazi wa Yesu ambaye mimi naamini ni mwanadamu aliyetuletea mabadililiko. Mama Maria ni mama ambaye tunamtegemea kutuombea kwa mwanawe ili tuokolewe au tupate tuombacho.
 
Back
Top Bottom