Mimi toka nilipozaliwa kwa mara ya pili(kiroho), katika ufalme wa Mungu muumba niliingia rasmi ndani ya sabato(pumziko) langu. Sikuwahi kurudi tena kazini ila nimedumu pumzikoni(sabato) Yake Yesu daima. Siku za wiki, mwezi au mwaka sii issue kwangu katika kumwabudu Mungu, siiabudu siku wala kuutukuza mwezi. Kama vile Mungu nae alivyo pumzika siku ya saba na hakuwahi kurudi tena kazini kwamba baada ya siku sita angepumzika tena siku ya saba nyingine; vivyo hivyo nami.
NI SIKU KUU SIKU ILE YA KUMKIRI MWOKOZI. SII IJUMAA, JUMA MOSI WALA J/PILI, SII IDD, PASAKA WALA CHRISMASS ILIYO KUU, BALI SIKU ILE NAFSI INAPOGEUZWA KWA KUZALIWA KTK UFALME WA MUNGU NDIO ILIYO KUU.
.