Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,240
- 6,605
Mambo ya walawi 11!Sio ya white!Elen white alikua mla kitimoto mzuri sana lakini akawapiga biti wasabato wasile kitimoto, dhambi mbaya sana ya unafiki na ubinafsi.
Aliacha kula hiyo kitu. Tena akaenda mbali zaidi akaacha kula nyama zote.Elen white alikua mla kitimoto mzuri sana lakini akawapiga biti wasabato wasile kitimoto, dhambi mbaya sana ya unafiki na ubinafsi.
Mbona watanzania hatutukuzi lugha yetu? Kichwa cha habari kwa kiswahili, habari yenyewe kwa kiingereza. Nadhan ungeandika kiswahili ujumbe ungewafikia wengi zaidi.Surah Al-Baqarah (2:65) states:
"And you had already known about those among you who violated the Sabbath, and We said to them, 'Be apes, despised.'"
Context of this verse:
This verse refers to a group of people among the Children of Israel (Bani Isra'il) who disobeyed the command of Allah regarding the Sabbath. Allah had ordered them to rest and refrain from working on the Sabbath (Saturday), but some of them violated this command. The story describes how, when they disobeyed, Allah punished them by transforming them into apes as a punishment for their disobedience and rebellion against His command. This serves as a reminder of the consequences of not following God's commandments and the seriousness of violating His rules.
Key Message:
This verse emphasizes the importance of obeying God's commands, as failure to do so results in punishment and negative consequences. It also serves as a warning to others to learn from the mistakes of those who disobeyed Allah in the past.
Waebrania 4:10
Maana, kila aingiaye mahali pa pumziko la Mungu atapumzika kutoka katika kazi yake kama vile pia Mungu alivyopumzika kutoka kazi yake.
BHN: Biblia Habari Njema
Sabato sio dini, ni dehebu ndani ya dini ya UkristoSurah Al-Baqarah (2:65) states:

umenena vyema maana wengi wanahubiri sabato lakini ukiangalia wao wenyewe hawatimizi inavotakiwa. Wanahubiri wengine kuitunza sabato ambayo wao wenyewe imewashindaDini pekee iliyo bora mbele za Mungu ni ile inayowajali wajane na yatima katika dhiki zao.
Mungu mmoja, Dini moja, Ubatizo mmoja.
"Ikumbuke siku ya sabato na uitakase, siku sita fanya kazi zako zote.."
Kama siku ya sabato unastarehe na hukufanya kazi siku sita unajidanganya
...Usifanye kazi wewe, wala mwana wako, wala mnyama wako, wala mjakazi wako, wala mgeni alie ndani ya malango yako.
Kama unaenda kanisani huku umeacha mgeni nyumbani, mwanao,housegirl anafanya kazi unajidanganya.
Kama unafanya dhambi zako, sabato ndio unajifanya mtakatifu unajidanganya. Mungu hadhihakiwi.
Nawakumbusha, siwahukumu badilikeni.
Msiabudu na kuiogopa siku, Mwabuduni Mwenyezi Mungu.
MUNGU akubariki, ikawe sabato njema piaMwambie rafiki jambo.....
Mwambie sabato njema,
Tuu marafiki milele kwa pendo lake Yesu!
Sabato njema kwako Determinantor
Amina Amina mtumishiMUNGU akubariki, ikawe sabato njema pia
Sema mngekua mnagonga hiki kitu kwa uwazi, dah ingekua bonge la diniWaebrania 4:10
Maana, kila aingiaye mahali pa pumziko la Mungu atapumzika kutoka katika kazi yake kama vile pia Mungu alivyopumzika kutoka kazi yake.