Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,371
- 111,682
Dr nafurahi kukuona mwaka huu........
Nami pia dr...natamani tu ningekuwa pande hizo za Mongolia nikuone fizikale
Dr nafurahi kukuona mwaka huu........
Tuhongereke pamoja, Happy new Year wana MMU woote
DEMBA Heaven on Earth gfsonwin AshaDii mwallu Mentor Judgement Asprin snowhite Kaunga Fixed Point Arushaone Filipo Preta PakaJimmy Mtoto halali na hela Rural Swagga Ennie KOKUTONA Karucee Fidel80 Madame B amu lara 1 Phenomenon Lady na wengineo wooote
Nami pia dr...natamani tu ningekuwa pande hizo za Mongolia nikuone fizikale
Mzima best?
Heri ya mwaka mpya,tumshukuru Mungu.
Hongera!!!
Hivi mwaka mpya tayari.......?
Asante rafiki, hongera kwako piaTuhongereke pamoja, Happy new Year wana MMU woote
DEMBA Heaven on Earth gfsonwin AshaDii mwallu Mentor Judgement Asprin snowhite Kaunga Fixed Point Arushaone Filipo Preta PakaJimmy Mtoto halali na hela Rural Swagga Ennie KOKUTONA Karucee Fidel80 Madame B amu lara 1 Phenomenon Lady na wengineo wooote
Heri na fanaka kwenu nyoote
Asante rafiki, hongera kwako pia
tujuzane shem unakujaje? nisije nikakupita njiani, lol!Heri ya Mwaka Mpya Shemeji. Mwaka huu nakuja kivingine
tujuzane shem unakujaje? nisije nikakupita njiani, lol!
heri ya mwaka mpya kwako pia.......
Mungu akutangulie na akujalie matakwa ya moyo wako......Kumbuka kuwa huu ni mwaka wangu wa ahadi. Ni mwaka wa Baraka tele.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums