Slum dwellers, Happy new year 2018. Jitahidini mwaka huu 2018 kupunguza unemployment, Njaa, Deni lenu, Uchafu na kukaa kwenye mabanda ya nguruwe. Huu ni ushauri wa bure chukueni.
Heheee.. Utapasuka msamba bure Mwanagovi.
Slum dwellers, Happy new year 2018. Jitahidini mwaka huu 2018 kupunguza unemployment, Njaa, Deni lenu, Uchafu na kukaa kwenye mabanda ya nguruwe. Huu ni ushauri wa bure chukueni.
Kabla ya lolote lile, ungetufamisha kwa ufupi yatakayotukumba tukiingia humo ndani, isije ikawa ni yale mambo yenu ya illuminati. 🙂🙂🙂 Nangoja.
Haha Tanzania no slum, no unemployment, Sleep well in 2018Slum dwellers, Happy new year 2018. Jitahidini mwaka huu 2018 kupunguza unemployment, Njaa, Deni lenu, Uchafu na kukaa kwenye mabanda ya nguruwe. Huu ni ushauri wa bure chukueni.