Happy National Bus laanguka Mbeya, Inyala

Tuanze kupima IQ ya MADAKTARI WETU kwa kutususia wagonjwa,IGP kwa kuridhia mwandishi habari za uchunguzi JERRY MURO, kufunguliwa kesi bandia kwa kuwaumbua matraffic police,TRAFFIC police kwa kugeuza magwanda meupe kuwa maduka,,Abiria wenyewe wa mabasi husika kwa kukubali dereva mmoja kuwaendesha kizembe watu wapatao zaidi ya sabini ndani ya basi,hadi kupelekea ajali huku wakiwa kimya. Bila kumkemea au kuwaambia maaskari waliojaa kibao mabarabarani.
.

Masaburi at work!!!!!!!!!!!
 
Nawakubali wabongo, nyie lazima mumtafute mtu kwanza wa kumpa lawama kabla ya kujua chanzo hasa cha ajari yenyewe. Ni wakati sasa kujifunza kupata taarifa sahihi ili kutoa majibu sahihi.
 
basi la Happy National limeanguka baada ya kushindwa kuumudu mteremko wa pale TAZAMA, maarufu kama Pipeline.

Basi hilo likiwa kwenye mwendo kasi lilitaka kulipita basi la Nganga, lakini kukawa na gari jingine linapandisha mlima huo, ndipo dereva akalazimika kulirudisha nyuma ya basi la Nganga na kuligonga kwa nyuma na kupinduka.!!!!!!.

Poleni sana abiria.

Lakini hapa kuna uzembe wa Dereva na wala siyo basi. Mtoa mada amesema mazingira kuwa ilikuwa kwenye mtelemko. Hivi hiyo leseni aliipata wapi huyu dereva anayelipita gari la mbele sehemu yenye mtelemko mkali. haoni aibu.

Ingelikuwa Serikali yetu siyo LEGELEGE, huyu dereva alipaswa kufungwa jela maisha. Kwani alikusudia kutoa kafara roho za watu.

Shenzyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy kabisa!!!!! Huyu!!!!!!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
ivi hawa madereva wa tanzania wafanyweje?kwa nini kila siku wanahatarisha maisha ya wananchi sana?
 
Hao Happy nation wanaoenda Mby wanatembea mwendo mkali sana, hawana ustaarabu hata kidogo. Poleni majeruhi!

Kama ulilijua hilo tangia awali kwanini hukutoa taarifa kwa vyombo husika? Wewe pia utakuwa ni rehemu ya tatizo
 
Daaa!!anaovertake kwenye mtelemko elimu gani ya udereva jamani???traffik mna kazi.ukiangalia sana utaona vyuo vingi vya udereva vinafundisha kwa lugha ya kiswahili na bado wako hivyo,wangefundishwa kwa lugha tofauti na kiswahili ingekuwaje???Basi jingine kwa njia hiyo ya mbeya ni MURO hawa nao ni vichaa mwezi wa 12 mwaka jana walitaka kutumaliza pale mikese wakituovertake kwenye mlima.:A S embarassed:
 
Poleni sana wahanga tutawaombea kwa Mungu mpone mapema ili mrudi tuungane kulikomboa taifa letu
 
Masaburi at work!!!!!!!!!!!

As your identity reads,you are the most masaburi mkandanje boy and i've got no time to arguments with fools.
You must be living clockwise though you cant even try thinking Big shame on you,
Shindwa kwa jina la yesu..........mtoto wa kifisadi wewe,bila shaka uko kundi la mwanaasha.,
 
Hata ukibadili difu gari inatoroka sana.
Sio injini tu.

seems so,coz huwa najiuliza inakuaje gari inakuwa very powerful hata kama mmemaliza speedometer jamaa anawapita kama mko kw bajaj,pia mabus ya allys ni the same family na hao happy nation
 
Hiyo. Nganga na happy nation ndo mabasi yanayo shindana kwa Mbio njia Hiyo
 
aiseeeeh haya mabasi haya,

haya ndo yaaale yaliyokua yakiitwa KILIMANJARO,

watu wakawa hawapandi yakabadilishwa rangi na jina.
No,wewe si mwongo ila umeandika uwongo.HAPPYNATION=SKYLINE=HAI EXPRESS.Haya mabasi nayajua vizuri saana.
 
Back
Top Bottom