Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Aisee hii stori yako imenifurahisha sana. Kwani nilishawahi kuwa na mahusiano mwanamke ambaye hajui appreciation wala satisfaction.Mfalme alipata hamu ya kula samaki akaamua kutembelea ufukweni siku hiyo ikawa samaki hakuna wavuvi wote wamekosa samaki.
Wakati anarudi na wafuasi wake ndipo akakutana na Mvuvi mmoja tu alie bahatika kupata samaki watatu 3 Mfalme akataka kuwanunua Mvuvi akakataa kuwauza samaki wake.
Mfalme akaomba auziwe japo mmoja Mvuvi akamwambia Mfalme huyu samaki mmoja naenda kumkopesha sijui kama nitalipwa.
Na huyu mwengine naenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza na huyu wa tatu naenda kumtupa
Mfalme akachukizwa kwa majibu yale akaamuru anyang'anywe wale samaki nae atupwe gerezani,
Akiwa Ikuru Mfalme akaamuru yule mvuvi aletwe mbele yake ili amuhoji
Kwanini umekataa kuniuzia mimi samaki wakati unaenda kumkopesha tena hujui kama utalipwa,,? Wapili unaenda kulipa deni na hujui kama utalimaliza,,? Kisha mwengine unaenda kumtupa wakati mimi nina shida na samaki,,?
Mvuvi akamjibu Mfalme
Huyu ninae kwenda kukopesha sijui kama nitalipwa naenda kuwapa wanangu
Kwani kuwaudumia watoto hujui kama na wao watakuhudumia
Na huyu nae kwenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza nawapelekea wazazi wangu,
Kwa waliyo nitendea siwezi kuwalipa hata niwape nini,
Na huyu ninae enda kumtupa naenda kumpa Mke wangu
Kwani hao hawajui kushukuru wala kutosheka, hata uwape nini siku akicharuka tu atasema hujamfanyia chochote tokea umuoe!
Happy International Men's day
Hahahah nipo Musoma Chief! PoleAisee hii stori yako imenifurahisha sana. Kwani nilishawahi kuwa na mahusiano mwanamke ambaye hajui appreciation wala satisfaction.
Hata ukijitahidi ukamfanyia jambo fulani nzuri yeye ni kulalamika tu.
Unatumia kinywaji gani aisee? Au kama upo kinondoni naombs uje hapa "Brake Point" inatizamana na makaburi ya Kinondoni.
Ubarikiwe sana mkuu.
Yeah kwa sababu tunakua regarded kama choo baada ya kufanya kazi yoote unaonekana choo tu, watoto wanampemda Mama yaoMbona nimesikia pia leo ni siku ya choo duniani??
Story mbona hujaimalizia?. Naiona ina ka uhalisia wa ukweli kwenye maisha ya wanaume.Mfalme alipata hamu ya kula samaki akaamua kutembelea ufukweni siku hiyo ikawa samaki hakuna wavuvi wote wamekosa samaki.
Wakati anarudi na wafuasi wake ndipo akakutana na Mvuvi mmoja tu alie bahatika kupata samaki watatu 3 Mfalme akataka kuwanunua Mvuvi akakataa kuwauza samaki wake.
Mfalme akaomba auziwe japo mmoja Mvuvi akamwambia Mfalme huyu samaki mmoja naenda kumkopesha sijui kama nitalipwa.
Na huyu mwengine naenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza na huyu wa tatu naenda kumtupa
Mfalme akachukizwa kwa majibu yale akaamuru anyang'anywe wale samaki nae atupwe gerezani,
Akiwa Ikuru Mfalme akaamuru yule mvuvi aletwe mbele yake ili amuhoji
Kwanini umekataa kuniuzia mimi samaki wakati unaenda kumkopesha tena hujui kama utalipwa,,? Wapili unaenda kulipa deni na hujui kama utalimaliza,,? Kisha mwengine unaenda kumtupa wakati mimi nina shida na samaki,,?
Mvuvi akamjibu Mfalme
Huyu ninae kwenda kukopesha sijui kama nitalipwa naenda kuwapa wanangu
Kwani kuwaudumia watoto hujui kama na wao watakuhudumia
Na huyu nae kwenda kulipa deni sijui kama nitalimaliza nawapelekea wazazi wangu,
Kwa waliyo nitendea siwezi kuwalipa hata niwape nini,
Na huyu ninae enda kumtupa naenda kumpa Mke wangu
Kwani hao hawajui kushukuru wala kutosheka, hata uwape nini siku akicharuka tu atasema hujamfanyia chochote tokea umuoe!
Happy International Men's day
Imeisha MpwaStory mbona hujaimalizia?. Naiona ina ka uhalisia wa ukweli kwenye maisha ya wanaume.
Asante sana, nimefurahi umenikumbukaHappy men's day.....
Happy men's day to my man, bila wewe mimi si kitu baba watoto wangu....
Hii imetoka moyoni kweli?? Anyway ngoja nikupe like tuHappy men's day.....
Happy men's day to my man, bila wewe mimi si kitu baba watoto wangu....
ehHappy men's day.....
Happy men's day to my man, bila wewe mimi si kitu baba watoto wangu....
Yeah, nitamkumbuka tena February 14 huku nikimsapraizi na mizawadi ya kufa mtu, boxa 1 vest 1, na pair 1 ya socksYaani leo ndipo unamkumbuka!