Na wanawake ni watu wa kubomoa.Nikopoa kabisa
Wanaume watu wa kazi
Hakuna kutia huruma"Dunia haijawahi kua na huruma na kiumbe kinachoitwa Mwanaume"
Asante kwa kutukumbusha yawezekana wapo wengi kama mimi hata hatujui leo ni siku yetu.
Shangaziii nimekumic, 😘😘😘💋💋Hebu wawish bhana wew😂😂
Mbona buzi sasa😀😀😀Asante mdau. At least wanaume tumeanza kupewa maua yetu, kuwa buzi, mtafutaji, mjengaji, mlezi, kusomesha na hata kujitoa kafara kwa ajili ya familia zetu siyo jambo dogo kabisa kabisa kabisa.
Ubarikiwe dada..
🙏👋