Happy International men's day to all

Happy International men's day to all

Aaliyyah

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2022
Posts
19,994
Reaction score
48,497
I hope mkopoa mnaendelea na majukumu

Leo siku muhimu sana kwenu wanaume
Kwanza tunawashukuru sana kwa kuwa watu wema na wasimamizi wazuri kwa familia,kuna.namna mambo huwa ni magumu sana lakini mnajikaza na mnasimama imara kihakikisha kilakitu kinakuwa sawa

Changamoto ni nyingi sana mnapitia japo nyingi huwaga hamseni na huwa mnasema wanaume mnanvifua vipana vya kuhifadhi mambo,hongereni kwa kutupenda,kutulea na kutuvumilia Mungu awape maisha marefu namzidi kubarikiwa🙏🙏

Heri ya siku yenu wanaume wote msisahau kujipongeza❤️❤️❤️

NB zinagtieni ujumbe hapo chini
 
Kama wewe mwanaume na bado unasherehekea siku ya wanaume na maujinga mengine jipige kifua na jisemee kuwa mimi ni mjinga na stafanikiwa kamwe.
Wew usiosherehekea tuoneshe mafanikio yako

Maisha sio magumu kias hiko inaonyesha hujawah kuambiwa pole au hata kupewa hongera ni vitu vya kawaida na ndio ubinadamu
 
Wanaume imara, familia imara, jamii imara na taifa imara

Mwenyezi Mungu awajalie wanaume wote wanaokuwa, wanaozaliwa na watakaozaliwa wawe vichwa na viongozi katika kila jambo.

Wanaume mkiamua kusimama kwenye nafasi zenu jamii itapona. Hatutakuwa na mashoga, wasagaji wala marioo

Tunawaamini na kuwaheshimu sana
 
Na leo pia ikawa International Toilets day.

Sijui mnataka kukamilisha msemo wenu kuwa :

" Men are full of shit" ?
 
Niltaka nishangae Ushoga usitajwe.

Usagaji unatokeaje? Em fafanua mama
 
Na leo pia ikawa International Toilets day.

Sijui mnataka kukamilisha msemo wenu kuwa :

" Men are full of shit" ?
😂😂😂Nachoka mm mjukuu wa clemence mwandambo
 
Back
Top Bottom