Happy Friends Day

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini marafiki zangu mjengoni hapa

Hii ni wiki maalum ya kufurahi na wale marafiki zako,
ni wiki ambayo utaenjoy kuwa pamoja na wale maadui
zako ambao kwa namna moja ama nyingine mlikosana

Ni wiki ya kuonesha upendo pale panapobidi ili kuwavuta
marafiki zako uliokosana nao na utaomba msamaha\
panapobidi ikiwa uliwakosea na kuwaudhi pia.

Marafiki mjengoni hapa na leo ni siku maalum ambayo
bunge la Katiba linajadili yale maoni yetu hivyo usiwe
mbali na luninga, redio yako kusikiliza yale uliyotoa
wewe mtanzania mwenzangu.

Marafiki mjengoni hapa tupendane, tujaliane, na
kuchukuliana kwa kila jambo ikiwa mmojawapo
mjengoni hapa amekukwaza kwa namna 1 au nyingine
msamehe na mpende na mfanye awe rafiki yako kuanzia
leo kwani upendo husitiri wingi wa dhambi.

Mpende hata kama unaona ana vinasaha fulani kwako,
Onyesha kujali kwa mambo manyonge hata mambo makuu
Furahi pale unapoona rafiki yako na jambo jema na
Huzunika au lia pale ambapo rafikiyo amepatwa na kitu cha
huzuni.

Mabestito nawapenda

Happy friendly week
 
Imezinduliwa wapi ?mgeni rasmi nani ?kuna kulakula ??yaani pilau na kuku ? Na milk stout barrrrdi ?naamini hakuna michango bali kadi za mwaliko
 
ladyfurahia, nimekumiss sana my friend..

i didnt know that you are going to be banned at the time i live!

why these modes didnt tell me atlist to give you my last word?

why?

why me?

come back soon ladyfurahia!!
Excel is missing you!


though you are not my baby.. but take that as a friend mine!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…