Happy Friday

Hunishind mm, yani inapofika friday tangu asubui nakua nafurahafuraha tu, na mara zote huwa siku nzuri..leo bata wapi vivian
 
leo..................mhhh mishkaki!!!!!! na kachumberiii!!!
Mlachake yupwapi sijui!!!!
 
Last edited by a moderator:

Shemeji (Hii nikumfumba macho sosoliso ujue nakupenda sana) usihofu kuna mishkaki ya Nundu pale coco ukitoka nistue nitakua hapa samaki samaki ya Posta.

Mpwa sosoliso tunakukaribisha.
 
Naona muda huu atakuwa ndani ya defender akipelekwa kituo cha polisi cha stakashari ukonga.. Unamponza mwenzio ujue..

Wewe Mlachake wewe subiri hao wandava wakufikishe kituoni Stakishari Ukonga ndo ujue mke wa mtu ni sumu..
 
poa poa shemeji!
ila mabano...........................sijui ndo nini?? mboa makubwa sana?!?!?!

mie leo ntakuwa kwa baba joji.........ana mishkaki mitam balaa
 
Naona muda huu atakuwa ndani ya defender akipelekwa kituo cha polisi cha stakashari ukonga.. Unamponza mwenzio ujue..

Wewe Mlachake wewe subiri hao wandava wakufikishe kituoni Stakishari Ukonga ndo ujue mke wa mtu ni sumu..

wiiiiiivuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom