Happy Father's Day Dadii. Mwaah!

Naona umeamua kunichamba Sasa!!
Nitazaa nawe hivyohivyo naubibi wako hata kama kale ka age umekapita nitakuonyesha how do i do to do the do of the dudu..😜

Mi ndo sniper wa kitandani mama na Mimi si yule wakusema penye miti hapana wajenzi!!.. Mimi si lile zimwi linalokula halafu halikwishi!!..
Mimi ni kenzy mtenzi ninaejua mapenzi bila kuchapa makwenzi..

You get it girl wa zamani..πŸ˜œπŸ˜…
 

Aahahaha salamu ya mafungu, walengwa ni waliojizatiti kwenye malezi kwelikwelii eehhheheee natumai wamekusoma vyemaa.

Acha nami nijazie salamu, happy father's day kwa baba walezi wooteee.
 
Umewasahau wanaolea watoto wa watu wengine bila kujua.

Dunia haaishi vitimbi na viroja, ukichukulia mambo positive utaishi muda mrefu sana humu duniani.

Shout Out kwa wababa wote wanaolea watoto wao aidha wakiwa wanaishi nao au wakiwa mbali.

Parent, live a mark / memory in your child's life.
 
Ukimaliza kumuhubiri huyo mzee uje uniwekee maji ya kuoga kisha tufanye urudi tena huko kwa mapengo lako..[emoji12][emoji28]
Daa!!ngoja nikaanue nguo zangu kwanza kwenye kamba
 
Duh..! Haya nimekubaliπŸ’ͺ
 
Ila wanawake nyie Mungu atuongoze vizuri tu tuishi nanyi kwa akili.

Sikukuu yenu ikifika...hata malaya na waliowabambikia baba zetu mimba tunawatakia.

Ila yetu mnaanza ubaguzi mara wanaochepuka mara sijui waliofanya nini.

Baba yeeyoooo, takwinyaaa

Aaahahahahhaaa asante kunipa cheko la jioni, habariikoo!!

Sasa baba yeyoo vile wajua wanaume nyie huwa mko straight hamna mambo mob wala mambo za kona kona. Si waonanga hata mkienda kwa shop, ukiuliza hii shati iko ngapi, ukiambiwa chapaa 20 unatoa na wala huulizi punguzo la bei au ati ilitengenezwa wapi au inakaribia ku expire lini ama kuna rangi gani na gani.

Ila sie sasa, hili shati bei gani... looh bei kubwaa punguza basii, bei itapungua kiasi halafu unajisemesha mmmhh kwani kuna rangi nyingine, utatolewa rangi zote, kisha utajisemesha tena sijui atalipenda... kisha unauliza tena, naweza kuja kubadili kama lisipomtosha au asipopenda hii rangi, najibiwa kisha najiwazisha tena halafu nasahau kama nilishaomba kupunguziwa bei naanza upya, sasa baba angu leo sijabeba hela ila kesho au keshokutwa narudi kuja kulichukua, au nikija nije nae ajaribu kabisa. Wauzaji wananitazama na kuanza kurudisha nguo, nikiwa naelekea kutoka dukani narudi tena kuuliza, hivi mna suruali ambazo zinafaa na kuendana kuvaa na hilo shati......!!!🀣🀣🀣 kama si kufukuzwa muuzaji anashika simu kama vile anaongea na simu hadi niondoke au aingie mteja mwingine.

Ila mie nawapenda wanaume, hasa wale magentomani.

Sasa, choma wapi leo..?
 
Mbaba mwenye kitambi changu tayari nimewahi hapa!

Kama unalea mtoto basi nikutakie maadhimisho mema na siku ya baba duniani, uendselee kuwa baba bora mwenye kujali na kumsikiliza mwanao na wote unaowalea akiwemo mkeo.

Kama bado ni bachela, bsi salamu ikufikie kwa u nusu.
 

Mikwara yako tuu na mikogoo aahahahahahhaaa

Dudukee anakutizama tuu huku anatupia finyango mdomoni..
 
Mikwara yako tuu na mikogoo aahahahahahhaaa

Dudukee anakutizama tuu huku anatupia finyango mdomoni..
Hayo mafinyango yenyewe hata hayatafuni kwasababu anamapengo..
Na apewe tuzo ya kumeza bila kutafuna..πŸ˜‚πŸ˜…

Baby ukikasirika sema..πŸ˜œπŸ˜…
 
Haloo,
Kwa walio na baba zao i hope wameshereka siku ya happy fathers day .
Ila siye tokea zamani we don't have father 2008.

Ulale Pema Baba yangu kwa sababu umefanya yako mema .
Tulikuwa twakupenda tulikuwa tunakujali.
Mapenzi yako baba yalikuwa ya ukweli .
Maisha yangu sijawahi kukosa mahitaji yote.
Ulinisomesha wewe ukanipa elimu nzuri asante baba kwa yote milele tutakukumbuka.
 
Hayo mafinyango yenyewe hata hayatafuni kwasababu anamapengo..
Na apewe tuzo ya kumeza bila kutafuna..πŸ˜‚πŸ˜…

Baby ukikasirika sema..πŸ˜œπŸ˜…

Keengeeeh weeeh

Kumbe hujuii utamu wa kung'atwa ng'atwa na mapengo weeyeeee aahahahahaa

Natafuna mie kisha nampa yeye anamung'unya utamu na kumeza, chezea mahaba ya chotara weewee aahahahahaaa.
 
Keengeeeh weeeh

Kumbe hujuii utamu wa kung'atwa ng'atwa na mapengo weeyeeee aahahahahaa

Natafuna mie kisha nampa yeye anamung'unya utamu na kumeza, chezea mahaba ya chotara weewee aahahahahaaa.
Bwana na aseme nanyi..!πŸ˜‚
 
Nimetoka kuchungulia status ya mama ati kapost "R. I. P daddy i miss you" na kaemoji cha kulia.

Sasa nimecheka sana huyo mzee amefariki siku mingi kabla mimi sijazaliwa.
.

Anyway happy fathers day.
 
Nimetoka kuchungulia status ya mama ati kapost "R. I. P daddy i miss you" na kaemoji cha kulia.

Sasa nimecheka sana huyo mzee amefariki siku mingi kabla mimi sijazaliwa.
.

Anyway happy fathers day.

A father is always a father, as along as he hustle for his family.

Kasinde Duudukee.
 
Aaahahahahhaa asante kusalimu na kuinua mikono.

Cheers to Kasie na Dadii Duuduukee.
Hata sijasalimu nimeamua kujiepusha tu na vimapengo vyenu..πŸ˜‚
Hivyo nimemuachia bwana aamua istahilivyo..πŸ˜…
 
Hata sijasalimu nimeamua kujiepusha tu na vimapengo vyenu..πŸ˜‚
Hivyo nimemuachia bwana aamua istahilivyo..πŸ˜…

Aaahahahahahaa yaani hizi beats za Dudukee zinanipelekesha, zinanipaisha hadi zinapanda kisha zinanishusha hadi zinashuka...

Hapana chezea my Dudukee, he is my one and only. He is unique and of his own.

I adores him before, now and always will, many kisses to him....Duuduukee.

Hata sichoki kumsifia, na kama ana mabaya yake hata sioni kwa raha na utamu ninaosikia.

I thank God the day I met him cause he is my Duuduukeee.

Keendhyyyyyy, shkamoo aahahahahhaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…