Unajua hesabu za ki digital wewe? 1+1=10, 10+1=11 na 11+1=100 upo hapoooo....... digital tuna deal na 1 na 0 tu, ndio maana nimeweka 6C na badala ya C6 Kesho nitakuja kukupigia lecture la digital, maswala yale ya K- map na mengineyooo. Pamoja my young brotherwewe manoah bado uko analoji unasoma kirivesi rivesi, heri kwako
Unajua hesabu za ki digital wewe? 1+1=10, 10+1=11 na 11+1=100 upo hapoooo....... digital tuna deal na 1 na 0 tu, ndio maana nimeweka 6C na badala ya C6 Kesho nitakuja kukupigia lecture la digital, maswala yale ya K- map na mengineyooo. Pamoja my young brother
mwaka huu tutashuhudia wenye simu za michina wakipotea hewani kimya kimya, na wale wa antenna za mwiba wa samaki ndo hivyo tena, huu mwaka wetu ving'amuzi jeneresheni,
happy new year Erickb52, watu8, Young Master, Mentor, na wana chitchat woooote,
mamaa la nguvu charminglady, nimekulet down ila usininyime sehemu ya zawadi ya ushindi
happy new year guys

wewe manoah bado uko analoji unasoma kirivesi rivesi, heri kwako
duuuu we ni hatariiiii Senior lecture C6 ..... 10 years kwenye game? We hatari ngoja na mie nitafute hata ka u assistant lecturetutorial assistant unataka kumpa lecture senior lecturer? mwenzio naifukuzia phd, ngoja nimuite mkufunzi watu8 akufahamishe usichokijua