Happy chupi day

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Pichu day Leo ni siku ya UVAAJI CHUPI DUNIANI. Watu wote wanasherekea kwa kutaja rangi ya CHUPI aliyovaa leo. Je yako ina rangi gani? Ukikaa kimya maana yake leo hujavaa. Usipojibu maana yake umevaa chupi chafu. Ukicheka utakuwa umevaa iliyochanika. Ukimuonesha mtu hii sms utakuwa umevaa oversize. "HAPPY CHUPI DAY"
 
wewe utakuwa umevaa chupi chafu tena inatobo katikati na nyuma
 
na hapa ndio hujapata uhuru bado (freedom of expression), je ukiupata itakuwaje!?
Lazima utakuwa Mtanzania tu maana siamini kama kuna nchi duniani hata huku kwetu kisiwani ambapo bado kuna watu wenye mawazo kama haya!!!!!
 
ya kijani!!ina picha ya mkulima na mfanyakazi!!!
 
Wewe umevaarangi gani vile...
maana mda ule ulifunua kidogo tu huku nyuma kupitisha muhogo;sikunote rangi yake!!!
 
haya tena yameanza ya chupi,yatakuja na ya sidiria na vesti...
 
Ila chupi kama ni security basi ni katika security zilizofeli duniani, sipati picha jinsi zinavyonyanyasika na matukio kadha wa kadha!
 
Huyu mwana JF mwenzetu naona katutusi toka mwanzo kila utakachofanya kupitia thread hii unapokea tusi. Mbona sisi tunasikia ya valentine wake chafu halafu imetoboka lakini hatusemi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…