Happy birthday

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Jamaa ilikuwa ni siku ya birthday yake, akashangaa mke wake na watoto wake hawamwambii happy birthday, akaenda kazini akashangaa hata wafanyakazi wake hawamwambii happy birthday, akaamua kuingia ofisini kwake, mara akashangaa sekretari akimwambia happy birthday huku akitabasamu, jaamaa akafurahi, sekretari akamwalika jamaa nyumbani kwake kwa lunch huku wakiongea maneno ya mapenzi, walipofika kwa sekretari walikumbatiana kidogo, mara sekretari akapunguza nguo zake na kumletea keki, Sekretari akamwambia jamaa naenda chumbani nivue baadhi ya nguo kabla hatujaanza kula keki, jamaa alipoona sekretari kaingia chumbani kupunguza nguo yeye akavua zake fasta fasra na kubaki uchi ili mambo yawe marahisi .... mara akashangaa sekretari na mke wake, watoto wanatoka chumbani wakisema supriseeeeeeeee, happybirthday halafu ye yupo uchi.
 
Najifanya nimechanganyikiwa ili kuua soo...
 
umekopi na ku'paste ndani ya jukwaa hilihili, this kind of kchekesho klipostiwa ndani ya mwezi uliopta nalog in.
 
Ahahahaaah!! Hiyo ni aibu ya mwaka.
 
ahahaaaa! Kwenye haya mambo ya mapenzi lazima uelewe kwa 100% mwenzako ana maanisha nini kabla ya kuonyesha reaction zozote.
 
Oooooh hata ukikimbia hujasolve chochote bado maana hali itakuwa ya maswali mwaka mzima licha ya watoto utamwambia nini mkeo??????
 

Hapo simpo sana, unasema we c mtoto na kumbuka mtoto alitoka uchi kutoka 2mboni kwa mama, kwahyo unawaambia nao SUPRISEEE....
 
Hapo simpo sana, unasema we c mtoto na kumbuka mtoto alitoka uchi kutoka 2mboni kwa mama, kwahyo unawaambia nao SUPRISEEE....

ungezaliwa BUTIAMA ungekuwa Nyerere.
Una akili sana mkuu!
 
Ukiona hvyo ujue huna ndoa tena jamaa wamekufanyia zengwe la surprise ukajilipua mwenyewe kisa kuambiwa happy birthday haya mambo ya kuiga wadhungu shida tutaumbuka tu lazima.
 
umekopi na ku'paste ndani ya jukwaa hilihili, this kind of kchekesho klipostiwa ndani ya mwezi uliopta nalog in.

hata kama kichekesho kimeshapita tunaupdates still kinachekesha nalog out
 
Nilikuwa nnahuzun ila kwa hii nimecheka na moyo umepoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…