Happy birthday Young Master

Happy birthday Young Master

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
Happy+Birthday+Wallpapers+For+Lover++(3).jpg

to you jembe langu, mdogo wangu, muigizaji wangu Young Master uwe na miaka mingi ili tuendelee kula vinono

i wish u blast










salamu hizi zimeletwa kwa hisani ya
c6_tunakuzimia.png
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa!!! umenifanya nicheke sana mkuu. Asante sana C6 tunakuzimia.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maana hiyo twakaa na kuishi jiji hili la chugga aka mabomu city hata siku moko usinijulishe kuwa nepi na mambo mengine tulianza the same date?


Haina maji chal'angu mungu akupe mvua za kutosha!

Happy Birthday Young Master.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maana hiyo twakaa na kuishi jiji hili la chugga aka mabomu city hata siku moko usinijulishe kuwa nepi na mambo mengine tulianza the same date?


Haina maji chal'angu mungu akupe mvua za kutosha!

Happy Birthday Young Master.

Mie ningejulia wapi aisee arif...mimi mwenyewe ndo nashangaa leo. By the way asante sana mkuu na wewe pia Mungu akujalie maisha marefu yenye neema na baraka tele.
 
Heri ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa kaka...
 
YM !
Kula sana mbogamboga, punguza vyakula vya wanga, kwepa vyakula vya mafuta!
Soda kunywa za free sugar (achana na misoda hii ya kawaida) percentages za kukutana mwaka ujao zitaongezeka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom