samahani kwa kuchelewa lakini
kwani mtu ambaye anapaswa kufadhiliwa huwa ana sifa gani?
hahahaah my wifi labda uje na kitenge cha wax ....... Catherine ajitambue kwa ulabu alipewe jukumu la kusafisha stoo ya vinywaji
Hujachelewa stevoh mtoto ndio kwanza ana siku moja leo......hiyo zawadi yako hebu mpe Blaki Womani afu wewe njoo huku ujichukulie kinywaji upendacho!
hakuna kureport nataka kuwa mwenyeketi wa kamati ya vigelegele
Hahahaha Preta anapokea mpaka sarafu lol....humuoni kabeba kapu hapo
Kwani ulikuwa wapi wakati PakaJimmy anamvalisha Remmy pete ya uchumba?......afu huyo Erickb52 si nasikia kaopolewa na Preta???.....vigelegele utanipigia mimi manake nakaribia kubariki ndoa yangu na Vin Diesel
mmmmmhh wi nakuaminia kwa umbeya.... Vin Diesel yamemshinda kutwa nzima upo kwenye shughuli
Aisee,Kwani ulikuwa wapi wakati PakaJimmy anamvalisha Remmy pete ya uchumba?......afu huyo Erickb52 si nasikia kaopolewa na Preta???.....vigelegele utanipigia mimi manake nakaribia kubariki ndoa yangu na Vin Diesel
Hahahaha my wii haka nimekashonea kwa fundi mmoja pake maeneo ya soko kuu.....nipitie baadae nikupeleke