Happy Birthday Young Master M/mungu akuzidishie miaka mingi yenye amani na furaha...... my wifi sweetlady nipo nishaanda masufuria na mwiko Preta amekwenda kuteka maji na Mr Rocky anachanja kuni
Young Master may you forever be young BUT wise as the years go by....
Nakuombea Mwenyezi Mungu Mwingi wa Neema akujalie maisha yenye baraka na afya tele!
Wifi yangu mpenzi tunashukuru kwa kutuweka pamoja kusherehekea sherehe ya Kichanga huyu!
:flypig:...Happy Birthday Young Master... :flypig:

Weye huyo!?
Mbona hakuna kamati ya vinywaji? me hiyo ndiyo inayonifaa.........sitaki ya jikoni.
BTW Happy birthday young_master
AshaDii hata mimi nimeshikwa na mshangao aise Blaki Womani kwenda kuchanja kuni tena aise mbona nitazeeka kablaNishaona dalili za kuanza kupaishana uongo hapa! wewe Blaki Womani hivi Mr Rocky anaependa maisha yaliorahisishwa kweli anachanja kuni au katumwa tu alete gas hapa? hahaha!
Nishaona dalili za kuanza kupaishana uongo hapa! wewe Blaki Womani hivi Mr Rocky anaependa maisha yaliorahisishwa kweli anachanja kuni au katumwa tu alete gas hapa? hahaha!