Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Nicky !
Hongera , hakikisha unakula ugali mkubwa na mboga za majani, inshaallah utakutana na mwaka ujao .
happy birthday bravooooooooo
Happy birthday Nicas Mtei
Dah... inaonekana umekurupuka huko utokako bila pampaz... Mbona unakosea majina ya watu hivo???
why am i missing you!!!!!!!!!
Something is wrong somewhere.........
hahahahahahaha niko safarini wangu. full mishe
Dah... Siku hizi umekuwa mrithi wa dhaifu nn??? Make husomeki at!!!!!
Happy birthday Nicas Mtei
Ahsante doctor wangu. Mgonjwa wako naendelea vyema