Nilijua tu.
Hangamaga nyandone - ishi maisha marefu kwa kadri inavyowezekana kijana wangu.
Angalizo: mimi ni mzee wa miaka 78 kwa hivyo badala ya kusema nyandone (kijana wangu) pengine nilipaswa kusema ng'wizลซkลซlลซ wane (mjukuu wangu).
Anyway, I mean it. Go enjoy your life today; and always - Kigamboni, majuu and everywhere else. Maisha ni haya haya hakuna mengine nyanda! ๐