Na kwako pia π πUsinitanie tena kama dear x,tulishatoka huko ...sirudii utani nawe katu.Kama sikujifunza bas nitakuwa hamnazo aisee.Uwe njema sana mkuuπ
Shukrani sana kakaHappy Birthday mkuu
Shukrani sana kakaHappy birthday champ.
Dah! Why brother?Mi hat Huwa simkumbuki ya kwangu
Shukrani sana πHangamaga nyandone! ππΏ
Shukrani sana πHappy birthday mkuu
Asanteeeh π₯° walahi nitaenjoy Leo ππKumbe ni waongo!
Happy birthday mwaya, zawadi zako nimempa min -me akuletee