min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,835
- 165,691
Kabisa mkuuNimeipenda hii,don't give up mangi 😂😂
Kabisa mkuuNimeipenda hii,don't give up mangi 😂😂
Inshallah 😎😎 tajiri shukrani sana tajiri yanguJamani jana nilikuwa busy, sikuingia humu. Happy belated Birthday mzee wa Kigamboni Vincenzo Jr Miaka mingi kwako, na ndoto yako ya kufika Italy itimie 😅😅😅😅😅😅 🎂🎂🎂🎂🎂🎂🍾🥂
Saa 4 uliyosema ni ya usiku au asubuhi?Inshallah 😎😎 tajiri shukrani sana tajiri yangu
Usiku kaaangalie kwa umakini nilivyo andika janaSaa 4 uliyosema ni ya usiku au asubuhi?
Sawa sawa tajiriiUsiku kaaangalie kwa umakini nilivyo andika jana
Natuma pm hapa Uzi mtafanya ufutikeSawa sawa tajirii
Utaniambia chap nifungueNatuma pm hapa Uzi mtafanya ufutike
Inshallah 😎Utaniambia chap nifungue
Sawa sawa tajiri, pm yangu inapokea vocha za Voda 😎Natuma pm hapa Uzi mtafanya ufutike
Tajiri vp umeshaziandaa au unasubir Yanga afungwe ili upate sababu ya kuzira?Inshallah 😎
🤣😁😁😁Tajiri vp umeshaziandaa au unasubir Yanga afungwe ili upate sababu ya kuzira?
Useme kabisa tujue, ili kama n kulala mapema nijue🤣😁😁😁
Yanga SC bingwa 💚 💚 💛 💚Daaah! Tajiri uongo utaacha lini
Kumbe ulimsikiliza?🤔Dah sasa itakuaje na saa 4 ndo h hapa inakaribia 😔
Dah kumbe tapeli 😔 kuna demu wangu nlishamuahid kumtumia vocha 😭Kumbe ulimsikiliza?🤔
Eh ila mwanamke akiwa tajiri mambo yanakuwa poa knomaAlafu sasa huyu ni tajiri😎