Happy Birthday to Nokia (Miaka 150)

Live longer nokia...ila sikufurahia mlipoacha kutoa nokia 3310
 
Hivi karibuni Elop amepachikwa jina "the wolf")(mbweha) kutokana na maroroso aliyoyafanya kwa the giant Nokia... Juzi kati kwa mara ya kwanza store ya Nokia Helsinki imefungwa ikiacha huzuni kwa wana-Finland... kutokuikubali Android ndo moja ya sababu kubwa ya kushuka kwa Nokia kwenye soko la smartphone..
Pia ndani ya Nokia kulikua na makundi ambayo yalikua yakipingana hivyo kusababisha maamuzi kuchukua muda mrefu kupitishwa.. Bila kusahau Nokia ilikua na facilities nyingi ambazo hazikuwa na faida bali matumizi tu..
 

Mimi naamini bila android nokia angeweza kutoka. Nokia n9 haijatangazwa sehemu hata moja, kipindi inatoka tayari elop alishasema meego wameidiscontinue lakini cha ajabu iliuza unit around 5 millioni. Hakuna high end ya wp iliofikia hizo unit.

Leo hii mtu akitoa simu za symbian za 50,000 basi watu kibao watanunua. Ukitaka simu decent ya android inabidi utoe kuanzia laki 2 ambayo still ni kubwa kwa watu wengi.

Nokia alifanya research mpaka 2014 still kuna watu bilioni 2 ambao wanatakiwa wawe na simu lakini hawana. Amini usiamini kuna soko kubwa sana la simu za 0-100,000 mabilion ya watu wanahitaji.

Symbian ingeendelea kuwepo kureplace java phone ila ingedrop tu price. Huku meego taratibu inapasua kwenye bei za juu. Na simu za nokia za linux na uwezo wake wa kutriple boot geeks wengi wangezinunua. Nakumbuka n9 ilipata jelly bean mapema kuliko hata samsung.
 
mkuu samahani kwa swali hili ila naomba nisaidie;: je Instagram inayopatikana kwenye windows phone ambazo nyingi ni Nokia lumia hizi,, ina matatizo sana ukilinganisha na ya kwenye Android
 

shukrani chief kwa ufafanuzi wako, ngoja tuwasubiri nokia tuone watakuja na kipi cha maana
 
mkuu samahani kwa swali hili ila naomba nisaidie;: je Instagram inayopatikana kwenye windows phone ambazo nyingi ni Nokia lumia hizi,, ina matatizo sana ukilinganisha na ya kwenye Android

Windows phone imetawaliwa na 3rd party apps. Ukihangaika na official apps kila siku utaziona mbaya. Instagram ina zaidi ya mwaka hata updates haipati. Ukitaka experience nzuri ya instagram download 6tag

Nenda store search 6tag download
 
Ukitaka kushindana vizuri inabidi ulenge masoko tofauti, Android ndani ya Nokia ingeiwezesha Nokia kishindana vizuri na Samsung na Huawei, then Meego ingeizuia Samsung kuileta Tizen sokoni.. Pia kwa kuipokea Android kwa bei rahisi Nokia ingeweza kuzishikilia Xiaomi, Meizu na Micromax..wakati huo huo Nokia wangeendeleza simu zao za bei rahisi kwa Symbian OS au Series40 yao..


Yote ya Yote Nokia ni msingi wa smartphone zote tunazozitumia leo na msingi siyo iPhone kama wengi wanavyotafsiri..
 
Windows phone imetawaliwa na 3rd party apps. Ukihangaika na official apps kila siku utaziona mbaya. Instagram ina zaidi ya mwaka hata updates haipati. Ukitaka experience nzuri ya instagram download 6tag

Nenda store search 6tag download

Chief mkwawa natumia microsoft 535,awali ilikua inafanya software updates lakini sasa haifanyi,inasema unable to check updates error 80072f8f,nimetafta suluhisho mtandaoni nimekosa maana wanasema ukibadili time setting itakubali,nimejaribu mara nyingi imegoma,je unaweza kunisaidia nafanyaje maana hadi nimeichukia simu gafla natamani kuipasua
 

Umejaribu kucheki na wifi?
 
Ngoja nirudi kule nilipotoka.
Nokia, Blackberry here I come
 
Happy Birthday Nokia... When it comes to JF anything related to Nokia/Windows phone, my greatest advisor is Chief Mkwawa... I salute you bro and always wish to meet you
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ