Happy Birthday to Nokia (Miaka 150)

Mars Rover

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
338
Reaction score
140
Miaka 150 ya kuzaliwa kwa Nokia... Tuambie lolote unalojisikia kuhusu Nokia na pia tupia maneno kadhaa ya kuhamasisha kampuni hii ya kipekee..
 

Attachments

  • Screenshot_2015-05-06-15-12-07.jpg
    65.1 KB · Views: 515
nilitamba sana pindi naaza form one tu nikanunuliwa nokia 3310

hbd nokia
 
tupa kule nokia.walitamba enzi zao sasa hawana jipya

Kilichopotea kwa Nokia ni Mobile Division tu mkuu.. Haki ya nani Nokia ni kampuni kubwa kuliko unavyofikiri.. Leo Nokia wakinuna ata zile MB 8 usizozikubali utazikumbuka.. Nokia pamoja na Ericsson ni kampuni muhimu sana kwako kama upo JF au unatumia Internet popote... Pia kumbuka mkataba unaozuia Nokia kutengeneza simu unaisha 2016 baada ya hapo wanaweza wasirudi kwenye smartphone market direct lakini wakaja kivingine kabisa..
 
Mimi bado naimiss hii multitasking



Hope 2016 wanarudi
Ni kutoka kwenye User Interface hii ya multitasking ndipo Samsung walipoitengenezea TouchWiz multi-tasking unayoiona kwenye Samsung Note na Tab lineup..
 
Nokia ni simu zinazosifika sana kwa kukaa na chaji muda mrefu ukilinganisha na simu nyingine.
Happy 150th anniversary.
 
Ni kutoka kwenye User Interface hii ya multitasking ndipo Samsung walipoitengenezea TouchWiz multi-tasking unayoiona kwenye Samsung Note na Tab lineup..

Kimuonekano yes ila utendaji wa kazi kwa touchwiz huwez fungua apps 40 kwa mpigo then ukakaa siku nzima ukaja kesho app zikawa vile vile hazizajiclose wala hazi resume unaendelea ulipoishia
 
Mimi bado naimiss hii multitasking



Hope 2016 wanarudi

This design was so sexy!Hivi ni kitu gani Nokia alijisahau mpaka akapitwa na Samsung na Apple maana jamaa kwa karibu miaka 14 kama sikosei alikuwa ni market leader kwenye mobile phone.
 
This design was so sexy!Hivi ni kitu gani Nokia alijisahau mpaka akapitwa na Samsung na Apple maana jamaa kwa karibu miaka 14 kama sikosei alikuwa ni market leader kwenye mobile phone.

Nokia hawana management nzuri. Walimchagua steve elop kama ceo wa kwanza wa kigeni (ambae hatoki finland) na alipoingia hizi ni baadhi ya decision alizofanya.

1. Kaiua symbian na kuipa kipaumbele java phone kwenye low end. Nokia akaacha kutengeneza n series na e series na kujikita zaidi kwenye nokia asha ambazo ni ghali kutengeneza na pia hazina lolote compare na symbian

2. Akaiua team ya meego/maemo/meltemi kwenye high-end na kuamua kutengeneza windows phone

3. Kuifanya nokia isitengeneze simu yoyote zaidi ya kujikita kwenye ecosystem ya microsoft

Ukichunguza kwa makini utaona elop alikuwa anaziogopa symbian na meego kama tishio kwa wp hivyo alikua anaishusha thaman nokia ili iuzwe kwa ms

Jamaa wa meego kuskia meego imesitishwa wakaacha kazi wote wakajiunga pamoja wakatengeneza kampuni inaitwa jolla now wana os inaitwa sailfish

Nuance nae akajitoa now yupo android app yao ya swype inaongoza kwa mauzo playstore (nuance ndo mgunduzi wa hio interface nzuri unayoiona juu)

Kuna kampuni nyengine blackberry aliinunua ilijitoa nokia nokia nayo ikadesign bb10

Samsung nao wakaiendeleza meego kupitia tizen.

Microsoft nao wakainunua nokia inayotengeneza simu.

So now nokia imebali na sehemu tatu tu.
-networking
-here maps
-advance technology


Ila hio network ipo vizuri inaingiza around 12-15b usd kila mwaka na tayari wameshanunua kampuni hizi
-siemens (net)
-motorola (net)
-alcatel lucent

Hivyo jamaa wapo vizuri huenda 2016 wakaja kwa kishindo
 

Daah
ndugu hizii data na hayaa mambo yotee unayapataa wapi na muda gani?
other wise umetishaa mkuu.big up๐Ÿ™‚
 
Hivi OVI ilifungwa, nakumbuka ni mwaka juzi nilikuwa natumia ovi kwa nokia 2730c. Ndipo walipoanza kutangaza mpango wa kufunga ovi, na kila mtu afanye backup ya vitu vyake alivyoweka ovi kwa sababu ovi itapofungwa data zitatokomezwa. Hatimaye wakaifunga ovi
 
Haki zote za ovi walipewa opera, ukitaka app za ovi utazikuta opera
 
Nokia moja ya kampuni ninazozipenda sana. Jamaa wanajua maana ya ubunifu. Happy birthday nokia
 

Pumbavu kabisa huyo CEO kaiua kampuni kwa makusudi kabisa huo uamuzi namba 1 ulikuwa wa kijinga kabisa.N series ilikuwa balaa.
 
Happy Birthday Nokia, N90 ndo my best phone mpaka sasa sitaweza kuisahau iyo simu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ