Dah.... mwaka mwingine tena. Bado nakushukuru bi mkubwa kwa kunibeba kwa takribani miezi 9 yenye shida na tabu nyingi....kisha kunihamishia kwenye ubongo wa mshua kwa miaka kadhaa yenye msongo wa mawazo na mikikimikiki ya maisha....hadi leo hii nimewajaza wote kwenye moyo wangu kwa furaha kubwa. ...... Mungu awalinde......Happy birthday to me