Mungu ni mwema sana. Sina budi kumshukuru sana kwa kunivusha na kunifikisha katika mwaka mwingine wa kuzaliwa. Nafurahia na kuutukuza ukuu wake kwa kuiona siku hii ya leo. Ahsante Mungu for this gift of life.
Ninapofikia siku kubwa kama hii nafarijika kuwashirikisha all of you my JF friends, karibuni tu share that small cake of my new SPECIAL DAY. Uzee unaninyemelea sasa, nakaribia kwenye ustaafu...wale wastaafu wa humu kina babu Dark CityAsprinKaizer @FP Mzee na wengineo niandalieni mazingira will be there soon.
Niliwamiss sana watu wangu wa nguvu humu, japo majukumu yalinipenda zaidi, but for this special day i want to share with u every moment of it, so just a note of birthday to me will be enough to bright my day and bring a smile and colour my day.
Aiseee shem mahaba yangu na Paloma kila siku ni mapya yaani.. ninampenda kuliko maisha.. kila nililonalo nimemkabidhi yeye.. mpaka siku yangu ya kudedi anajua..
Aiseee shem mahaba yangu na Paloma kila siku ni mapya yaani.. ninampenda kuliko maisha.. kila nililonalo nimemkabidhi yeye.. mpaka siku yangu ya kudedi anajua..
Happy birthday my dear KOKUTONA
Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na amani na ukapate raha ya maisha na ukaongozwe pia katika kila unachokifanya
Mungu akujalie ya umande wa mbinguni kama Jacob
happy birthday once again