Happy birthday to me

Happy birthday to me

Aliens

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
42
Reaction score
14
Nina furaha sana leo kutimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwangu
 
Hongera! Mungu akupe miaka mingi zaidi ya kuishi yenye Furaha na Amani.
 
Aliens
delightful-surprise-smiley-emoticon.gif
smiley-says-happy-birthday.gif
happy-birthday-smiley-emoticon.gif
happy-birthday-to-you-smiley-emoticon.gif
 
happy birthday tu yuu Aliens
 
Last edited by a moderator:
umeshamshukuru Mungu kwa huo umri ulionao au unadhani unajilinda mwenyewe
uendelee kuwa na afya njema
 
Nkamu happy birthday
mmapo amasyo aghalino ghikuti ntufye malafyale
kwa ajili yako best

pokea zawasdi hii keki bible.jpg
 
umeshamshukuru Mungu kwa huo umri ulionao au unadhani unajilinda mwenyewe
uendelee kuwa na afya njema

hakika namshukuru mungu kwani mimi si chochote bila yeye. Btw asante kwa kunitakia afya njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom