mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 936
Ilikuwa tarehe 8 June Mwaka 2011, Kuwa hiari yangu na bila kushawishiwa au kulazimishwa, Niliamua kuzaliwa rasmi kwenye familia hii ya JF. Since then JF imekuwa kama system ya ofisini lazima kuifingua kila siku. So leo nimetimiza Miaka 3 JF. Happy birthday to mimi a.k.a mchemsho
Last edited by a moderator: