Mtoto wa kichaga umeshazimikia katerero.
hahahaha miss chagga mi ndo wa kwanza lol
Nishamtumia kadi ya birthday, ua, na namba yangu ya simu hapo kwa pm mie
niambie utafiti
Hbd....
mimi nipo njiani kwenda kumwona live... najua we umeweka appointment ya jioni utakuta ameshakuwa used
Mbona we ni mchokozi? Mi si ndo nimeanza kumpm lakini?
I miss u
wakwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza... mimi nimemjulia nikawahi mzigo fasta nilijua tu utamtafuta ngoja nimtumie kwanza we uje baadae,, haha mimi mjanja we
Happy birthday Chachu Ombara
tunaomba utoe tamko....
Mwanangu miss chagga
naaaam baba
Umeamkaje? Ushakunywa chai?
baba hata sijanywa leo amna mayai nimeacha
atakudanganya hapa wewe mimi nipo nae sa hivi nachezea vindevu vyake loh......