happy birthday to me

happy birthday to me

happy-birthday-girlfriend.jpg
 
Happy Birthday To You!! Tunakuombea Kipaji Halisi Kiendelee Kuwa Halisi!
 
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kaka...
Leo bila shaka lile TANDIO la bibie amu ndio walirejesha kwake...
 
Last edited by a moderator:
hepi besdei KH... live long...
..Ahsante mkuu

Happy Birthday To You!! Tunakuombea Kipaji Halisi Kiendelee Kuwa Halisi!
...hahahahaha..kipaji km kawa...uzee ukiongezeka na uzoefu unaongezeka

Happy birthday!
..Ahsante mpendwa
Happy birthday to you
...Thanx
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kaka...
Leo bila shaka lile TANDIO la bibie amu ndio walirejesha kwake...
.. watu8 mbn huo mtandio ulisharudishwa siku nyingi...
 
Last edited by a moderator:
Kaka Kipaji Halisi, tatizo kila tukija kusherehekea hepi besidei hakuna wa kupika na kupamba pamba nyumba. It's time u got someone to share ur life with bana tukija tusherehekee vyema..get me??!


Happy birthday bro...lotsa blessings...:bounce:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom