Happy birthday to me

0004.gif
0005.gif

Mkuu napenda kukupa hongera nyingi kwa kufikisha
umri ulio nao, umepitia na kuona mengi, hopefully
mema na mazuri uliojifunza maishani yatakuwa
fundisho na shule kwa wengi wakuzungukao.
nakutakia kila lakheri kwa miaka mingi ijayo.
afya, nguvu, hekima na baraka zote ..

0006.gif
0020.gif
0267.gif
0020.gif
0006.gif



 
Haya mambo ya sapraiz haya.... Si ungesema kabla tukupe hapa pampas jamani? Anyway hepi besdei uishi mara 4 ya umri wako 43 mara 4 = 172.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom