happy birthday to me!

Happy Birthday CL...usharudi kumbe? Usitunyime keki basiii:redface:
 
Happy birthday kwa kutimiza miaka 4..........

Happy birthday charminglady
 
Happy birthday dear. May you live to see a hundred more!
 
Whether you are turning 18 or 64 you still look mwaaaah charminglady .......Happy Birthday my love.
 
Last edited by a moderator:
Hapi basdeii chipenzi! Nakuombea Allah akulinde na akujaalie kila lililo la kheri! Mwaaaaaaaaah!!!
 
Hii inanitisha Charminglady maana huenda tukifikia umri wako na sisi happy birthday to you itageuka na kuwa to me!!! Kweli akinamama siku hizi tunalo hilo. Anyway happy birthday dear
 
Hii inanitisha Charminglady maana huenda tukifikia umri wako na sisi happy birthday to you itageuka na kuwa to me!!! Kweli akinamama siku hizi tunalo hilo. Anyway happy birthday dear

asante BAKumunda, ila umenchekesha?
 
Last edited by a moderator:
baby Asprin mie na wake wenzangu cacico na Yummy, chini ya usimamizi wa Kongosho tushaandaa mapochopocho ya kula..... charminglady karibu na happy bday...
Asprin mume wangu unaweza wakaribisha wageni sasa.....
Kaizer , champaign zipo karibu?




 
Last edited by a moderator:
Happy birthday mpendwa! Mungu akujalie maisha marefu na bora!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…