happy birthday to me!

happy birthday to me!

Asprin ndo nimefikisha 19.. waoh jaman naomba mnichagulie mahali pakufanyia party make me mtoto siwezi kuchagua. thanks for ur wishes my dear
 
Last edited by a moderator:
Asprin ndo nimefikisha 19.. waoh jaman naomba mnichagulie mahali pakufanyia party make me mtoto siwezi kuchagua. thanks for ur wishes my dear
 
Last edited by a moderator:
Hongera Mama yangu naona unakaribia miaka ya SSRA

Mungu akulinde na kukupa hekima na busara

happy bday to you

teh teh, yan bdo kama miaka thelathini na ushee. nahc hasira nikifikiria suala la mafao. naanza kuichukia kazi wallah
 
happy birthday CL..........(una soli nyekundu hapo?!?!?!)
may you live many many many many years......more than bi Kidude:flypig:
xoxoxo

soli nyekundu? what do u mean. . . thnx for ur wishes
 
HBD Charminglady! Mola akujaalie maisha marefu yenye raha bin furaha tele! Uone vijukuu na vitukuu pia! Hongera sana. Enjoy your day mamito.

asante sana KARIA
 
Last edited by a moderator:
HBD Charminglady! Mola akujaalie maisha marefu yenye raha bin furaha tele! Uone vijukuu na vitukuu pia! Hongera sana. Enjoy your day mamito.

asante sana KARIA
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday dear CharmingLady, Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka tele

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Smile & Laughter! Joy and Cheer! New happiness that stays throughout the year, hope your brthdy brings all these and more fillin' life with surprise and joys galore !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom