Chakooo😁😁, happy birthday to you Chakorii, 👉mdada usiye penda hela
👉Pua ndefu Kama filimbi ya wachawi 😂😂
👉Kichwa Kikubwa Kama Nazi ya buku jero😁😁
👉 I mean no malice to nobody
Hongera, Leo ni kumbukizi ya siku mwili wako ulizaliwa.
Ni ukumbusho kuwa ulikuwa na mwanzo hivyo haina budi kuwa na mwisho.
Basi yatayarishe mapito yako, tengeneza njia yako,
Fanya mapenzi yake aliyekuleta
Onyesha upendo, kuwa chanzo cha furaha kwa wengine
ili ujio wako hapa duniani uache alama.