Sasa kwanini asi-reply huko bwana Popoma?Fohadi unaona jinsi unavyonitafutia Matatizo? Tayari Wapumbavu na Waswahili wenye Chuki na Wivu wa Umaarufu wangu hapa JamiiForums wameanza Kuhisi kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE na kwamba nimejianzishia Mwenyewe tu huu Uzi ili.kutafuta Sifa zaidi.
Tayari kuna Uzi wangu wa Kujitakia Happy Birthday Mwenyewe niliuanzisha Juzi Saa 6 na dakika 1 Usiku na bado upo nashangaa bado Watu wananihusisha Mimi na hii ID yako.
Yaani kuna Watu hapa JamiiForums wananichukia utadhani labda nimekula Chao au nina Deni nao au nimelala na Mama zao Wazazi hivyo nimewatelekeza au labda Mimi ni Kikwazo cha Kiuchumi kwa Maisha yao au labda Shida zao na Umasikini wao mkubwa ( ambao hata Mimi GENTAMYCINE ninao ) unasababishwa nami.
Na kinachonisikitisha zaidi sasa mpaka Nawadharau mno Haters na Critics wangu wengi hapa JamiiForums ni kwamba Wao ndiyo kila Uchao wanatangaza Kunichukia, Kutonipenda na hata Kuniombea nipigwe BAN tena ikiwezekana ile Permanent Ban lakini ndiyo hao hao 24/7 wakiingia hapa JamiiForums ni lazima wanisome nimeandika nini, nimechangia nini na wengine hadi Wananifolo.
Mtu haumpendi, ila Kutwa unamsoma.
Cc: Leak
Happy Birthday GENTAMYCINE [emoji846][emoji846]Lovelucky kaka yako amezaliwa huku
kheri ya siku ya kuzaliwa POPOMA MWANDAMIZI...
Kweli ndugu yangu nimeona na nimestaajabu sana kuona wanakuchafua. Sema ndio hivyo huenda wamekaliliFohadi unaona jinsi unavyonitafutia Matatizo? Tayari Wapumbavu na Waswahili wenye Chuki na Wivu wa Umaarufu wangu hapa JamiiForums wameanza Kuhisi kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE na kwamba nimejianzishia Mwenyewe tu huu Uzi ili.kutafuta Sifa zaidi.
Tayari kuna Uzi wangu wa Kujitakia Happy Birthday Mwenyewe niliuanzisha Juzi Saa 6 na dakika 1 Usiku na bado upo nashangaa bado Watu wananihusisha Mimi na hii ID yako.
Yaani kuna Watu hapa JamiiForums wananichukia utadhani labda nimekula Chao au nina Deni nao au nimelala na Mama zao Wazazi hivyo nimewatelekeza au labda Mimi ni Kikwazo cha Kiuchumi kwa Maisha yao au labda Shida zao na Umasikini wao mkubwa ( ambao hata Mimi GENTAMYCINE ninao ) unasababishwa nami.
Na kinachonisikitisha zaidi sasa mpaka Nawadharau mno Haters na Critics wangu wengi hapa JamiiForums ni kwamba Wao ndiyo kila Uchao wanatangaza Kunichukia, Kutonipenda na hata Kuniombea nipigwe BAN tena ikiwezekana ile Permanent Ban lakini ndiyo hao hao 24/7 wakiingia hapa JamiiForums ni lazima wanisome nimeandika nini, nimechangia nini na wengine hadi Wananifolo.
Mtu haumpendi, ila Kutwa unamsoma.
Cc: Leak
NakaziaUnajitekenya alaf unachek mwenyew
Hii post ni Yangu...FOHADI....haina uhusiano wowote na Gentamycine na haijawahi kuwa ya Genta.Juzi ulipost birthday yako ukaona imebuma leo umekuja kujitekenya mwenyewe.
Utoto raha Sana
Another damn Fool.Sasa kwanini asi-reply huko bwana Popoma?
Thanks Chief.Happy Birthday GENTAMYCINE [emoji846][emoji846]
Yet another damn Fool. Hivi Mtu akisema leo ni Birthday yake inamaanisha kuwa anataka Sifa, Umaarufu au Uzi wake ndiyo Uchangiwe sana?Juzi ulipost birthday yako ukaona imebuma leo umekuja kujitekenya mwenyewe.
Utoto raha Sana
Kama unavyokazwa.Nakazia
Kuna Watu hapa Jamiiforums huu Umaarufu wangu na hii 'Natural Charm' yangu inawatesa, inawaumiza na huenda hata wakawa wanatamani Nife kabisa baada ya kuona Ombi lao la kutaka Uongozi wa Jamiiforums unipige Life BAN kutofanikiwa.Hii post ni Yangu...FOHADI....haina uhusiano wowote na Gentamycine na haijawahi kuwa ya Genta.
Tumia akili sometimes mkuu...Sasa mfano hata birthday yake ikitrend mwaka mzima anafaidika na nini haimdi ahangaike kuipromote?
Usikalili maisha mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣Kama unavyokazwa.
Eti game changerKuna Watu hapa Jamiiforums huu Umaarufu wangu na hii 'Natural Charm' yangu inawatesa, inawaumiza na huenda hata wakawa wanatamani Nife kabisa baada ya kuona Ombi lao la kutaka Uongozi wa Jamiiforums unipige Life BAN kutofanikiwa.
Cc: LIKUD
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yet another damn Fool. Hivi Mtu akisema leo ni Birthday yake inamaanisha kuwa anataka Sifa, Umaarufu au Uzi wake ndiyo Uchangiwe sana?
Hivi GENTAMYCINE ninahitaji Kiki hapa Jamiiforums wakati hata Marais wako, CDF Jenerali Mabeyo, 75% ya TISS Staff, Wasomi ( Wanataaluma ), Wanamichezo na 85% ya Jamiiforums Members ( Mpumbavu na Mswahili Wewe ukiwemo ) kila Uchao wakiingia hapa ni lazima tu watanisoma na Kunifuatilia?
Umaarufu wangu una Baraka za Mungu.
'Signature' yangu pendwa ya 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' naona inakukera na Kukunyima Amani pia. Vipi nikupe Wewe uitumie halafu na Mimi nitabuni nyingine ambayo nayo najua kwa Talanta na Mvuto niliopewa na Mwenyezi Mungu nayo pia itakuwa maarufu tena kuliko hata hii?Eti game changer
Nafurahi mno muda Wote ukiwa hapa Jamiiforums unavyohangaika nami huku ukidhani unanishusha Umaarufu wangu wakati Ukweli ni kwamba kiuhalisia ndiyo unaniongezea Umaarufu kiasi kwamba 24/7 tu idadi ya Followers wangu inaongezeka.🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah kumbe nakuongezea umaarufu? Sasa tatizo liko wapi mkuu wakati umaarufu ndio unao utafuta?Nafurahi mno muda Wote ukiwa hapa Jamiiforums unavyohangaika nami huku ukidhani unanishusha Umaarufu wangu wakati Ukweli ni kwamba kiuhalisia ndiyo unaniongezea Umaarufu kiasi kwamba 24/7 tu idadi ya Followers wangu inaongezeka.
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Baraka.