financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,133
- 40,698
hahaaa, usinambie una sura ya mama aisee
hahaaa, usinambie una sura ya mama aisee
hahaaa, usinambie una sura ya mama aisee
Aisee, nimeskia hiyo financially, kamoyo kanaruka ujue
Hiyo ni selfie bwana. Nna hilo bonge la chura posh akasome nitaleta picha full @Behaviorist akija
ok ,uko vizuri
ok ,uko vizuri
Hbd mamy, makeup ipo mahala pake kwakweli, kama amepaka vumbi vile
Kikikikiki nimeacha babe..... Good Evening.
Haya nimekumissKikikikiki nimeacha babe..... Good Evening.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Miss you more.... hasa this weekend.
Mkuu ulicho andika sio ubinadamu aisee.tumekufahamu dada, asante.
Kuna viumbe wana dharau sana ukute wao wana sura kama kanyagio la tembo.Happy birthday brodha.... usichukizwe na maneno ya wenye sura za kukata tamaa, hawawezi kujipost sababu wanavyojinasibu humu na uhalisia tofauti kabisa.... hahahaha
Povu lije tu blankets chafu sana.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Hahahaha kanyagio la tembo,Kuna viumbe wana dharau sana ukute wao wana sura kama kanyagio la tembo.
Huyu wa kupoozea njaa tuWee si una mke huyo kwenye profile